Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji110]
IMG_20180505_175501_607.jpg
 
Siamini. Shemeji yule kweli akamatwe na kaandaeitini? Ai donti thinki so [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kusema "Lugano" kakamatika [emoji134] [emoji134] [emoji134] kweli "lavu daazi noti aski whai" [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Mwache apumzike kwa amani huko aliko pokelewa. Viandaeitini vivulana vya humu vimezidi kunyororoka, kweli Yego alikuwa wakukosa kuingiza kichwa achungulie ndani? Maana kulikuwa wazi thruu auti.... Nikawa napita napaona papo wazi, najisemea tu hiiiiiiiiii....
 
Back
Top Bottom