Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-04-21-19-43-37.jpg
 
Hapo mnakuwa mmetamani tu mumchungulie, anakuwa hajapendwa mtu...Mnakuta mambo yapo tofauti na matarajio yenu
Hahah! Sitaki kubisha inaezekana kweli tumeshindwa tofautisha kupenda na kutamani.....

Pia huwa kuna ile unawish kua na mtu unapiga soundi akikubali tu basi hamu nae inakata kabisa unatamani kupiga chini au unamuanzishia visa...
 
Back
Top Bottom