Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nashangaa kuona anakula vitu vya bei ya juu kuliko gharama alizotoa [emoji445][emoji445]Kisa cha mpemba
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Mhhhh kuna ka ukweli hapa
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana mkuu ukawa andaeitini? Kama ni hivyo sio mbaya, wenzio akina Yego, Numbisa, uniq, carba, jakitoo na wengine wapo humu usijali. Kwa ufafanuzi OTTU ni kundi la wanamuziki wa kitanzania, walianza na jina laNUTA,wakaja na JUWATA, baadae OTTU wakijulikana saaana kama Msondo ngoma.
Wapi Badi bakuleMuumini
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika
Jambo AfrikaJambo tz
Buda mambo ndo kama hivi binti naona hapendi kuinama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Asante