Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-04-21-19-19-20.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana mkuu ukawa andaeitini? Kama ni hivyo sio mbaya, wenzio akina Yego, Numbisa, uniq, carba, jakitoo na wengine wapo humu usijali. Kwa ufafanuzi OTTU ni kundi la wanamuziki wa kitanzania, walianza na jina laNUTA,wakaja na JUWATA, baadae OTTU wakijulikana saaana kama Msondo ngoma.
Uko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom