mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
JiweYeye nani?
Hahahahaha siwezi kushikwa kiboya vileHata wewe mzee wa liver ulikwenda huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nimechukua simu lakini wapi
Kweli nimeamini asiye na bahati habahatiki.
Yani najuta kutoa hiyo kauli mana leo imeniletea kizaa zaa [emoji23][emoji23]Aisee wewe dogo sana sisi wahenga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nini Cole?Kweli nimeamini asiye na bahati habahatiki.
Wazee wa ClaraDDC mlimani park
Aiseeee"Wewe kama ni mwanafunzi, shule ya msingi umesoma private school, secondary private school, leo uje uchukue fomu ujaze mkopo wakupe mkopo wamekuwa vichaa?" Rais Magufuli, 07/05/2018, Morogoro.
Nyimbo zetu hizoHahaha! Kumbe wakumbuka eeh?
Hivi Jakii upo???Sauce[emoji7] View attachment 769475
Hahahahaha mpemba kaleta balaaaNashangaa kuona anakula vitu vya bei ya juu kuliko gharama alizotoa [emoji445][emoji445]
Kitambo nilikua mdogo sana
Nipo.... Habari yako mkuu?Hivi Jakii upo???
Mchinga soundWapi Badi bakule
Za likesBurudani za Usiku
$1500Tshs 2,285,000
Au sioHatupoi