Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji huyo,33, alianza mazoezi na kupiga picha na wachezaji wenzake kwenye kambi ya mazoezi huko London Colney.

Hata hivyo, mapema hakukuwa na dalili zozote za Cazorla kucheza mechi ya jana jioni ya Arsenal na Burnley.
 
Bado nina nafasi ya kucheza,’ aliiambia AS mwisho wa mwezi uliopita. ‘Kwa kuwa nimekaa nje kwa miezi 18, kila kitu kitafanyika kwa wakati wake.

Pamoja na kwamba sasa nimepata nafuu kabisa, ninaangalia uwezekano wa hatma yangu kwa baadaye
 
IMG_3456.JPG
 
Back
Top Bottom