Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alitwaa ubingwa kwa mara ya kwanza mwaka 1990 ikiwa ni Kombe la FA kwa kuilaza Crystal Palace na tangu wakati huo alianza kukisuka kikosi matata. Ferguson ametwaa jumla ya vikombe 13 Ligi Kuu, mara mbili Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwemo taji la mwaka 1999 alilolitwaa dakika za mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…