Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ferguson alikuwa Old Trafford Jumapili iliyopita na kukutana na rafiki yake, Arsene Wenger wakatia stori, na zaidi ni baada ya kocha huyo wa Arsenal kutangaza kubwaga manyanga mwishoni mwa msimu huu.