ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Au kumendea
AsanyeKaribu
Maeneo ya MbuguKibiti sehem gani
Mwambie anipitie anipe lift niende utete kwa DCho chi minh ameelekea huko na mgongo wa chura wake
Mchawi wako ni network tu ngoja tushee wifi hapa mpenziNaona network inaanza wanga mapemaa
Mbugu au bungu?Maeneo ya Mbugu
ata kw mtutu sitakShamba linauzwa bei nafuu kabisa, ziko heka 30 kwa milioni moja tu. Mwenyewe ana shida, sio mbali na barabara, unaweza kulima mazao mbalimbali.
Shamba linapatikana Kibiti.
Nimekosea bunguMbugu au bungu?
Basi sawaNimekosea bungu
Umeyatamka sana
Siruhusu maana anakutamani hapo amejaa vivu kuona mi natoka na wewe.Mwambie anipitie anipe lift niende utete kwa DC