Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Legacy- is the money or property which some one leaves when they die..

Urithi- ni Pesa au mali ambazo mtu au watu uacha baada ya kufa.

Inheritance- is money or property which you receive from some one who has died

Urithi(2)- ni Pesa au malo ambazo unapokea kutoka kwa mtu aliyekufariki(akupe yeye kabla hajafa ama upewe na watu wengine)

Legacy na inheritance vyote ni urithi ila tofauti ni hiyo
-LEGACY ni urithi unaweza kuwa wa pesa ama mali ambazo hata kama zitachoka lakini bado zitaendelea kutumika zaidi na zaidi.

- INHERITANCE ni urithi ambao mtu/watu wanapewa baada ya mmiliki kufariki wanapewa waviendeleze lakini vinaweza visidumu kuliko LEGACY.
Uko sawa
 
More than 2,500 left-handed people are killed every year from using equipment meant for right-handed people.​
Weeeeeeeee.....!! Sema kweli maana mimi huwa natumia mkono wa kushoto zaidi kuanzia ( kula, kiandikia, kuchati , kupasi , kupikia, kurusha kitu, kukata nyanya, every thing left lakini msalani natumia right hand ) [emoji87] [emoji85]
 
Back
Top Bottom