KARDASHIANS [emoji23]Keep up with what???
Uko sawaLegacy- is the money or property which some one leaves when they die..
Urithi- ni Pesa au mali ambazo mtu au watu uacha baada ya kufa.
Inheritance- is money or property which you receive from some one who has died
Urithi(2)- ni Pesa au malo ambazo unapokea kutoka kwa mtu aliyekufariki(akupe yeye kabla hajafa ama upewe na watu wengine)
Legacy na inheritance vyote ni urithi ila tofauti ni hiyo
-LEGACY ni urithi unaweza kuwa wa pesa ama mali ambazo hata kama zitachoka lakini bado zitaendelea kutumika zaidi na zaidi.
- INHERITANCE ni urithi ambao mtu/watu wanapewa baada ya mmiliki kufariki wanapewa waviendeleze lakini vinaweza visidumu kuliko LEGACY.
Jizazi...ha ha haaaKwani Davet anachepuka? Na nani? Niambie nikamueleze wifi sasa hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nahene nkoyiWabheja
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]KARDASHIANS [emoji23]
Sawa mkuu.Legacy siyo urithi. Nimeshawaandikia BAKITA. Wakinijibu nitaleta mrejesho...
Usjivunge kama unamkubali kaeni chiniKwani Davet anachepuka? Na nani? Niambie nikamueleze wifi sasa hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chukua simu basi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Asante kauli hii imekuwa faraja kwanguChukua simu basi [emoji12][emoji12][emoji12]
Weeeeeeeee.....!! Sema kweli maana mimi huwa natumia mkono wa kushoto zaidi kuanzia ( kula, kiandikia, kuchati , kupasi , kupikia, kurusha kitu, kukata nyanya, every thing left lakini msalani natumia right hand ) [emoji87] [emoji85]More than 2,500 left-handed people are killed every year from using equipment meant for right-handed people.