Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
The supreme happiness of life is the conviction that we are loved.
~ Victor Hugo
~ Victor Hugo
Ndio hiyo hiyo mkuu naona jamaa alilitoa road baada ya kuona limemshinda basi kafagia bodaboda za kutosha na wafanya biashara wadogo wadogo kando ya barabaraAjali hiyo nimeisikia mchana kuwa imeua watu wengi.
Hee ulitoboa?It works[emoji4] View attachment 769752
Numbisa nae alikua lindo?Numbisa uko wapi, Au umeingia mitini?
Aisee! 3 hrs ago....Sio kila kitu kinachowekwa katika mitandao ya kijamii kina manufaa la hashaa! vitu vingine vinachangia kuhatarisha maisha.
[emoji3][emoji3]
06:326:31