mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Watu wengi tunatamani kufika mbinguni paradiso lakini cha ajabu tunaogopa kifo sasa utakwendaje mbinguni bila kufaYesu mwokozi utakaporudi, kunichukua kwenda mbinguni
Nitaimba sifa zako milele, wote wajue jinsi ulivyo.