mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Watu wengi tunatamani kufika mbinguni paradiso lakini cha ajabu tunaogopa kifo sasa utakwendaje mbinguni bila kufaYesu mwokozi utakaporudi, kunichukua kwenda mbinguni
Nitaimba sifa zako milele, wote wajue jinsi ulivyo.
Unakimbiza? [emoji26]Mwenge
Amun RaYeah mpendwa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji120]
Hakika mkuuMungu ni mwema Siku zote
AMEN.Tunashukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kuiona hii Siku ya Leo
Morning pyaar Mwenye Enzi ni mwaminifu sanaG'morning mzee wa liver!
Amun RaKaribu tujumuike mkuu.
Mimi siogopi kufa, na nimejiandaa sekunde, dakika,saa,siku yoyote.Watu wengi tunatamani kufika mbinguni paradiso lakini cha ajabu tunaogopa kifo sasa utakwendaje mbinguni bila kufa
Gr8Asubuhi iko njema mkuu, vipi wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana ni eneo nimepita hapo sasa hiviUnakimbiza? [emoji26]
You are worthy to be praised [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]1...2...3
You are alpha and omega we worship you O Lord.......[emoji445]
Amen [emoji144][emoji144][emoji144]Tunashukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kuiona hii Siku ya Leo
[emoji120][emoji120][emoji120]Morning pyaar Mwenye Enzi ni mwaminifu sana
Kifo ndo basi pekee la kutufikisha kwa baba yetu.Watu wengi tunatamani kufika mbinguni paradiso lakini cha ajabu tunaogopa kifo sasa utakwendaje mbinguni bila kufa