Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Word [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
445411097_339274.jpg
 
Rais Donald Trump wa Marekani amesema atatangaza uamuzi wake leo Jumanne kwamba Marekani itaendelea kubakia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran ama kujitoa .
Trump ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter jana Jumatatu akisema atatangaza uamuzi wake kutokea Ikulu ya Marekani saa 8:00 kamili mchana leo Jumanne kwa saa za Marekani.
 
Back
Top Bottom