Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kutoka humu ndio baadae sana mkuuNini kazi? Kula like usihofu wala nini
Kuna kau kweli
Unafikiri kuambiwa unapendwa kazi ndogo basi?Hahahahaha
Jambo.Jambo TZ
[emoji23][emoji23] ni kweli mkuu sasa hv nipo BunjuLeo umezurura sana umetoka kino mpaka ilala,ubongo,
Kasoro kigamboni tu.
Namagondo karibu hapo, huyu atakimbilia KAMASI kabisaSubiri akibisha Dodoma utakimbilia Namagondo bila kupenda
Wakufute wewe kwanza. [emoji23]Mods futeni hii kitu..
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hili ni jiji la Dodoma kuna wanaume wa Dodoma sio wanaume wa Dar [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri akibisha Dodoma utakimbilia Namagondo bila kupenda