Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwamuzi msaidizi aliyeshindwa kukataa bao la mkono 'Mkono wa Mungu' la Diego Maradona, hakufa kwa sababu kihoro cha utata wa bao hilo amesema mkewe.

Mwamuzi huyo mwenye uraia wa Bugaria, Bogdan Dochev kabla ya kifo chake Mei 29 mwaka jana alidai alimuona Maradona akiugonga mpira kwa mkono na kuingia nyavuni 1986 dhidi ya England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…