Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini marehemu ambaye alikufa akiwa na miaka 81 aliambiwa na mwamuzi wa kati, Ali Bin Nasser asiwe na uamuzi juu ya tukio lile lenye utata.

"Siwezi kumsamehe yule mwamuzi wa kati na hata Diego," alisema Mjane Emily.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu, kipa wa zamani wa England, Peter Shilton naye alisema bado anahisia mbaya alilofungwa bao hilo na mshambuliaji yule wa Argentina.

Shilton (68) anaamini Maradona alitakiwa kuomba msamaha kwa bao lake la mkono alisema hawezi kukutana na kuongea chochote na mshambuliaji huyo.
 
Maradona aliwahi kusema mwaka 2005 kuwa hajawahi kujutia hata sekunde moja bao alilofunga kwa mkono kwenye kombe hilo ambalo Argentina ilifanikiwa kulitwaa kwa mara ya mwisho nchini Mexico.
 
Back
Top Bottom