mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ESPNNiko na dstv hapa sasa sijui kama nitaipata
Good morning jakitoo06:07
Kumbe ni utumwa huuRelaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu, waasia au waarabu. Watu wengi hasa wanawake wanapenda kutumia relaxer ili nywele zao ziwe na mwonekano tofauti. Kihistoria matumizi ya relaxer yalianza kama matokeo ya watu weusi kubaguliwa.
Good morning mkuu06:27
AminaJua linachomoza na matumaini mapya
Na kwako piaasubuhi njema kwa wote
Udumu milele yoteamani na umoja wetu
Good morning mkuuGO HARDER OR GO HOME. It's a beautiful day.
MorningMorning Africa
Yaplikes za asubuhi ziendeleee..
Yaplikes za asubuhi ziendeleee..
Morning potiWamisha chiza? [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Yaplikes za asubuhi ziendeleee..
MentionView attachment 770864
[emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
Naona moto unasambaa nchi nzimaKuna mahali Mafuta ya kula yamepanda bei..
MhhhhhhHata sijui hahaha
Samaki mtamu huyu kama mbofuNiletee mumi
ZaidiPeleka kwenye uzi wake kule itapendezaaa