Niko na dstv hapa sasa sijui kama nitaipataMwaka jana TV1 ilikuepo lakin kwa Azam mwaka huu sjui kafanya ubwege gani
Haina noma mzeeNaangalia kwenye Simu mzee, channel za mbele huko
Ila kwenye TV angalia TV1, wenye Azam hatuna hiyo
Dstv huwez kosa itafuteNiko na dstv hapa sasa sijui kama nitaipata
Poa ngoja tuoneDstv huwez kosa itafute
Hajambo lesista asee?02:30
Hajambo ila naona bado anamuhofia dada mkubwaHajambo lesista asee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajambo ila naona bado anamuhofia dada mkubwa
Hahah!! ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole bro
Usipo clear hapo utapata mean L
Njoo tuongee kama nduguHahah!! ....
Kwanza embu niache nitakutafuta chemba tuyajemge
Hahah.. haina nomaNjoo tuongee kama ndugu