moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ledada hujalala?Vibaya sana sema nshaupunguza kidogo
Ledada hujalala?Vibaya sana sema nshaupunguza kidogo
SankaraThomas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ZERO itapendeza baada ya kumchora huyu mrembo kwenye question paper kisha ukapiga yowe la nguvu kwenye chumba cha mtihani idumu JF kisha ukainuka na kusepa taratibu huku ukitembea kibabe/kitemi
Wee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ledada hujalala?
Aah ulikua bado unazurula humu?Usku mwema
HahahahAah ulikua bado unazurula humu?
Nani na nani?Hahahah
Nipo nasubiri game ya NBA
Jazz na RocketsNani na nani?
Chanel gani hapo mzeeJazz na Rockets
Naangalia kwenye Simu mzee, channel za mbele hukoChanel gani hapo mzee