ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Niko poaa best [emoji4]Heheh!!...
Niko safi hofu na mashaka ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu...
Niko poaa best [emoji4]Heheh!!...
Niko safi hofu na mashaka ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu...
Bee AntonioLedada
[emoji23] [emoji23] eti kama unahubiri[emoji23]
Ndiyo, mwanaume anashindwa ashike lipi aache lipi. Mwanamke unakuwa kama mchwa!!!!!![emoji23] [emoji23] eti kama unahubiri[emoji23]
Ila kuna kiukweli
Kweli, inafikia kipindi mwanaume anachoka na kelele na hamu na wewe inaisha.Ndiyo, mwanaume anashindwa ashike lipi aache lipi. Mwanamke unakuwa kama mchwa!!!!!!