Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ngoja niende kidogoJitahidini mtakaokua na muda muende gulioni
Ngoja niende kidogoJitahidini mtakaokua na muda muende gulioni
KaribuJamani nimerudi
Naombeni mniachie komenti ya 70000
Nakutafuta ww mbaba.Usishuke bado kidogo
Wapi?Ngoja niende kidogo
Wametoa wazo la gulio la jf watu wakutane viwanja vya 77 kujumuika pamoja na ukiweza vaa id yako wakujue,ukipata muda kaupitieNimeupita tu unahusu nn?
Jamaa ww dahHamna mimi na wewe tu kipenzi wengine labda mchepuko. [emoji23] [emoji23]
Nazidi kukupenda tu
La binadamu muende mkajuane huko mle,mcheze mzikiGulio la nguo??
Au mbuzi??
Nipo naisubiri tuHakuna tabu uwanja ni wako
Na lengo linakaribia kufikiwasiku inayoyoma