Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miongoni mwa waliotia saini barua hiyo ni Susan Bewley, profesa wa wanawake wa chuo cha taasisi cha Kings, Michael Baum na profesa wa upasuaji wa chuo kikuu cha London.
Makosa yaliorodheshwa kutoka mwaka 2009 , yalitolewa wiki iliyopita. Wanawake 270 nchini Uingereza wamefariki kwa kukosa kurudi kwa uchunguzi kwa mara nyengine.
 
0FB70BDB-C2D0-4F1A-8B84-8295806E23D6.gif
 
Wanawake 309,000 ambao walikuwa hai watatumiwa barua mwishoni mwa mwezi Mei ya kuwaomba kurudia uchunguzi huo wa matiti.
Mamlaka ya huduma ya afya -NHS imekadiri uchunguzi huo huokoa maisha ya mtu mmoja kati ya 200 ambao wamefanyiwa uchunguzi huo, na huyaokoa maisha ya watu 1,300 kwa mwaka nchini Uingereza.
 
Lakini kati ya wanawake 200 watatu ambao wamefanyiwa uchunguzi hupatikana na saratani ambayo haihatarishi maisha ya binadamu na kujuimuisha wanawake 4,000 kila mwaka hupokea matibabu yasiyostahli.
Muuguzi aliyestaafu Maggie Whyte , 61, kutoka Edinburgh alifgundua kwamba alikuwa na saratani ya matiti katika kiwango cha mwanzo alipokuwa ameenda kufanyiwa uchunguzi wa mara kwa mara.
'Nilikuwa na bahati ilikuwa haijasambaa kwenye tezi , alisema matibabu aliyoyapata yalifanikiwa.
 
Uchunguzi wa matiti hufanyiwa kila mwaka mara tatu kwa wanawake kati ya umri wa miaka 50-70 nchini Uingereza.
Madaktari ya afya wa Uingereza (PHE) wamesema haikuwa na habari zozote kuhusiana na madhara ya uchunguzi huo hadi mwezi Januari.
Siku ya Jumamosi , PHE ilisema itatoa usaidizi zaidi kwa wanawake ambao wamezidi umri wa miaka 72 ili waweze kufahamu manufaa ya kufanyiwa uchunguzi katika siku zao zijazo maishan
 
Mwanamke mmoja ambaye amekuwa na maumivu kwa muda mrefu baada ya kufanyiwa upasuaji na upandikizaji kwenye via vya uzazi ametaja upandikizaji huo kukomeshwa, huku wataalamu wakisema njia hiyo inatakiwa kuwa suluhu ya mwisho .
Serikali ya Wales imependekeza zifanyike njia nyingine za kutibu wagonjwa wenye shida kwenye via vya uzazi.
 
Back
Top Bottom