Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sema Rocket na GSW wako west pamoja ila km Rocket angekuwa anatoka upande mwingine basi tungeona fainali hata ya miaka mitano mfululizo kati ya Rocket na GSWGSW lazima washinde
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahahah aiseee
Yaap na marehemuEeeh
Kimya kimyaaa
Aaah kama naikumbukia na biti yake
Alikuwa na ngwair eeh?
They cant beat lebron lakinIla Celtic nao wako vizuri mwaka huu
I can't get you out of my headShow goes on
Yeah! t is possibleHahah
Habari za Cavs tuziache kwanza hahah, hayo maajabu unayosema yanaweza tokea mkuu,
Sana aisee, perfomance yao sio ya mchezoIla Celtic nao wako vizuri mwaka huu
AaahYaap na marehemu
Jamaa alikuwa vizuri sana