Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.

Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.
 
Kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane Ametoa Taarifa Kamili Kuwa Staa wa Timu Hiyo Cristiano Ronaldo Atakua Fiti Kuikabili Liverpool Kwenye Fainali ya Mabingwa Ulaya.

Ronaldo Alipata Jeraha la Enka Kwenye Mechi Ya Dhidi ya Mahasimu Wao Fc Barcelona Jumapili na Kupelekea Kutolewa Kipindi Cha Pili.

Zidane Amethibitisha Kuwa Wachezaji Wengine Isco na Dani Carvajal Watacheza Katika Fainali Huko Kyiv.

Real Madrid Wana Mechi Tatu za La Liga Zilizobakia Kabla ya Fainali ya Uefa na Zidane Amesema Ana Imani Kuwa Ronaldo Atacheza Mchezo Wao wa Mwisho Kwenye Ligi Dhidi ya Villareal.
 
Yaya Toure anaweza kujiunga na timu nyingine ya Premier League mwisho wa msimu endapo atafungashiwa virago vyake Manchester City, Everton, Burnley na waliopanda daraja Wolves wamekuwa wakivutiwa na kiungo huyo mwenye miaka 34.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…