ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,179
HeeeeeWenza wanapofika kileleni mapigo ya moyo hubadilika, hudunda kwa haraka na huku upumuaji ukiwa ni wa kasi na kuvuta pumzi kwa nguvu.
Kwa wanawake, hali hii huwa ni nzito na yakipekee, kufika kwao kileleni nakupata hisia nzuri huweza kuambatana na kujikunja ama kujikaza kwa misuli ya maeneo ya sehemu za siri, nyumba ya uzazi na kiunoni.