ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,179
HeeeeeWenza wanapofika kileleni mapigo ya moyo hubadilika, hudunda kwa haraka na huku upumuaji ukiwa ni wa kasi na kuvuta pumzi kwa nguvu.
Kwa wanawake, hali hii huwa ni nzito na yakipekee, kufika kwao kileleni nakupata hisia nzuri huweza kuambatana na kujikunja ama kujikaza kwa misuli ya maeneo ya sehemu za siri, nyumba ya uzazi na kiunoni.
Wee acha tu. Kuna style zingine wakisema simama kwenye hali ya kawaida hauwezi hata kwa viwembe. Lakini ndani ya dakika zile za upofu, kiwete anasimama...[emoji23][emoji23][emoji23], hapo karelax au kajichosha?
Umenena sahihiAmani itawale na upendo udumu ndani yetu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu mkuu
TuendeleeKufika kileleni ni msisimko wa kipekee unaoleta hisia nzuri kwa wenza wawili wanaowajibika kikamilifu katika tendo la ndoa. Hisia hizi hutokea kwa wenza wote kama ishara ya kufikia kilele cha tendo.
Hisia hizo huambatana na mtiririko wa matukio kadhaa yanayohusisha mfumo wa fahamu (ubongo na mishipa ya neva), damu na moyo na maeneo mengineyo ikiwamo viungo vya uzazi.
Nakufata[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] chaaaaaaaa
MkenyaAhaaa. Ni mkenya nini hiyo nyon'go hahhaha
Umefurahi eeeti eeeeeHeeeee
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hicho kicheko sasa,, tuendelee na somo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa boss[emoji16] [emoji16] [emoji16] hicho kicheko sasa,, tuendelee na somo