Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha
Mzee wa kunyapia nyapia

Sifa ya kuwa mnyapiaji unatakiwa usiwe unavunga. Ukipata dots zi connect[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna unyapiaji wa kimya kimya na wa kupeperuka juu(mpaka unajulikana kuwa unanyapia/Mnyapiaji)
Ila kunyapia nyapia kuna raha yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
TENDO la ndo ni kitu muhimu ndani ya uhusiano. Kukosekana kwa tendo hili ndani ya ndoa kunaweza kusababisha mtafaruku baina ya wapendanao.

Leo ningependa kuzungumzia sababu za msingi kwa nini watu waliofikia umri unaoruhusiwa kukutana kimwili kuhakikisha wanafanya hivyo.
 
Hupunguza mawazo



Tendo la ndoa husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongo wa mawazo. Pia huufanya mwili kutengeneza homoni zinazosaidia kupunguza msongo wa mawazo. Wanasayansi wanathibitisha kuwa wapenzi ambao uhusiano wao hauko vizuri, huwa hawafanyi tendo hili kama inavyotakiwa.
 
Huziweka homoni za mwanamke katika uwiano sawa



Tendo hili linafaida nyingi kwa wanawake, si tu kumfanya awe mwenye furaha bali pia humsaidia katika kuzalisha homoni ya estrogen ambayo humsaidia kuogeza muda na uwezo wa kubeba mimba. Pia husaidia katika mzunguko wa hedhi. Faida hizi zinaweza kuonekana iwapo utafanya tendo la ndoa angalau mara moja kwa wiki.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ule wa kimya kimya siupendi wafu hawakawii kukutungia majina wakikugundua
Ila ukinyapia ki uwazi kabsaa hata wahusika hawashangai wanajua, Sudi ashafika [emoji2] tujiandae kwa llte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…