Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huziweka homoni za mwanamke katika uwiano sawa



Tendo hili linafaida nyingi kwa wanawake, si tu kumfanya awe mwenye furaha bali pia humsaidia katika kuzalisha homoni ya estrogen ambayo humsaidia kuogeza muda na uwezo wa kubeba mimba. Pia husaidia katika mzunguko wa hedhi. Faida hizi zinaweza kuonekana iwapo utafanya tendo la ndoa angalau mara moja kwa wiki.
 
Screenshot_2018-05-09-07-57-11.jpg
 
Kuimarisha misuli



Husaidia kuimarisha misuli ya mwili mzima na hivyo kumfanya mwanamke/mwanamume kuwa na mwonekano mzuri (shape). Pia husaidia misuli ya nyonga kuwa imara na hivyo kumwepusha asijikojolee ovyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ule wa kimya kimya siupendi wafu hawakawii kukutungia majina wakikugundua
Ila ukinyapia ki uwazi kabsaa hata wahusika hawashangai wanajua, Sudi ashafika [emoji2] tujiandae kwa llte
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ubuyu ukimung'unya kimya kimya ndo wasikia utamu yakheee
 
Back
Top Bottom