myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:20
Nafuatilia.....Huweka mzunguko mzuri wa hedhi
Jinsi mwanamke anavyozidi kufika kileleni ndivyo hedhi zake hukaa vizuri na damu kuwa chache. Pia hupunguza maumivu kipindi cha hedhi.
Aise,, [emoji16] [emoji16] [emoji16]Classic Mwakaleli...
View attachment 771779
Usichoke, ng'ang'ana mama utashangaa nae kakupa... Huu noozi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumpa asiye kupa ni sawa na kutupa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dada unaitwa!Nakaziaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ulikuwa umepakumbuka shiro? [emoji16] [emoji16]Anhaaa kumbe unasemea mall twende kesho kasmart[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kumbee[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Husaidia kupata usigizi
Kama unatatizo la kupata usingizi, ni muda mwafaka sasa kwako kufanya tendo la ndoa. Hii itakusaidia kupata usingizi wa kotosha. Kufika kileleni husababisha kutoka kwa kemikali inayosaidia mwili kutulia.
Kumbeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hupunguza uzito
Ukifanya tendo la ndoa angalau mara mbili kwa wiki inaweza kukusaidia kupunguza uzito wa mwili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah, baada ya dak 5 cheki simu yako shiro