Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkufunzi wa Newcastle Rafael Benitez anasema kuwa klabu hiyo italazimika kuvunja rekodi yao ya uhamisho ya dau la £16m alilopewa Michael Owen mwaka 2005 - iwapo italazimika kumsajili mshambuliaji kufunga mabao mengi msimu ujao. (Mail)
 
Atletico Madrid inataka mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann kusalia katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu na tayari rais wa klabu hiyo Enrique Cerezo amekutana na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 katika mgahawa mmoja mjini Madrid ili kumshawishi kusalia . (AS - in Spanish)
 
Sir Alex Ferguson aondolewa ICU : Klabu ya Manchester United imethibitisha kwamba hali ya kiafya ya Sir Alex Ferguson imeimarika na sasa ameondolewa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi japokuwa ataendelea kubaki hospital ya Royal Salford kwa ajili ya matibabu.
 
Usianze siku mpya na mawazo mabaya yaliyofanyika miaka ya nyuma.. Usiwaze vipande vilivyovunjika Jana , usijikoseshe furaha kwa stress za jana! - Siku ya leo iko mikononi mwako...iangalie, iongoze, amua kufurahia siku yako Ili ukutane na mema. - Ukawe na siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…