MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
halafu ukilikimbia huwa linajikunja kama Spring halafu linaruka juu kwa kujifyatuaAkiwa kwenye harakati za kulipanda jike hapendi kelele, kwahiyo ikiwa umeingia kwenye territory yake na ukaanza kelele tambua shambulizi linakuhusuView attachment 772222
Nashindwa na mali sina weeeh!
Kuna sehemu inaitwa Pawaga Iringa, yamejaa vibaya huko.Nyoka huyu hupatikana karibu mikoa yote ya Tanzania, ingawa harakati za kibinadamu hivi sasa ziwafanya wasipatikane kwenye baadhi ya maeneo na hivyo wanaonekana kwa wingi mkoani Tabora, Kigoma, Iringa na milima ya tao la mashariki Uluguru, Udzungwa, Unguu nkView attachment 772230
Malisina bwahahahahaha,...Nangekuwa Malaika hahahahahaha lol! She is very beautiful. Basi mie udogoni hapo kwenye mstari wa Malisina nilidhani Malisina ni jina la mtu lol! hahahahahahah
Johhy Blaze upo aiseeThe labeling of a snitch is a lifetime scary
Malisina bwahahahahaha,...
Daaah ila sampuli za namna hii zinapatika Brazil, Columbia na Ethiopia.
Nipo Nicolous Cage,ishu vp mzeeJohhy Blaze upo aisee
Ethiopia kuna visu usipime mzee,,Malisina bwahahahahaha,...
Daaah ila sampuli za namna hii zinapatika Brazil, Columbia na Ethiopia.
Unyamwezini vipo sema siku hizi vingi siyo Fresh Juice, Beauty Surgery kibao!Naam lakini hiki ni kitu cha unyamwezini Mkuu. Unyamwezini kuna vitu si vya kawaida halafu vikaamua kujiremba Mkuu acha kabisa!!!
Powa Braza, aisee umeangalia Gangster Squad ??Nipo Nicolous Cage,ishu vp mzee
Ethiopia kuna visu usipime mzee,,
Hapana bado mzee,yupo na nani humo?Powa Braza, aisee umeangalia Gangster Squad ??
Unyamwezini vipo sema siku hizi vingi siyo Fresh Juice, Beauty Surgery kibao!
Hahah chura zipo sema za kimtindo,, unataka chura za kuvunja changa mkuuIla chura sasa kukosekana ni shidaaaaa
Ewaaaaaaah, usipime halafu vinavaa kihasara-hasara kinoma....Yaani kuvaa vimini juu ya magoti na vitovu nje siyo shidaEthiopia kuna visu usipime mzee,,
Hahah chura zipo sema za kimtindo,, unataka chura za kuvunja changa mkuu
Hahahaha, chura ni tatizo sana kwa hawa jamaa zetu. Ukitaka chura nenda kwa Wabantu hasa wale Ndebele, Zulu.Ila chura sasa kukosekana ni shidaaaaa