Wale watt wa rwanda kwa ethiopia wanasubiri mbali sana,, nywele hadi mgongoniEwaaaaaaah, usipime halafu vinavaa kihasara-hasara kinoma....Yaani kuvaa vimini juu ya magoti na vitovu nje siyo shida
Josh Brolin wa Sicario, Thanos wa Avengers!Hapana bado mzee,yupo na nani humo?
Hahahaha, chura ni tatizo sana kwa hawa jamaa zetu. Ukitaka chura nenda kwa Wabantu hasa wale Ndebele, Zulu.