Hii tunaitumia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari yangu ni nzuri.Wakuu habari zenu?
Wakuu mambo vipi?
Wakuu shikamooni?
Mkuu nimefurahi kusikia hivyo, kwamba uko njema [emoji3]Mkuu habari yangu ni nzuri.
[emoji106]Mkuu nimefurahi kusikia hivyo, kwamba uko njema [emoji3]
Sawa, Nimekuelewa mkuu!Man u,r madrid
Nakazia.
Sawa, Nimekuelewa mkuu!
Mkuu, Haukuonekana lindo usiku wa kuamkia leo, Au alikukamata sana!?Naomba nitoe lai humu ndani, siku nisipoonekana kabisa hata KIDOGO bhasi andikeni tu death notes.
Tuko sare mkuu!Wewe je?washabikia timu gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia.
Sana.Hii tunaitumia sana [emoji23][emoji23]