aaaahhh tulikuwa hatujaelewana ...mimi nilikiwa nagusia kuhusu swala la BASHHHH..kuweka kizuizini na chombo cha usalama chenye akili "Ndiyo Tume iundwe ili ukweli uanikwe hadharani. Kukataa kuunda Tume kwa kiasi kikubwa cha pesa kama hicho kunaleta wasiwasi mkubwa kwamba kuna kitu kinafichwa.
They cant broInashangaza na kusikitisha sana Mkuu. I hope MACCM watampiga chini huyu 2020 vinginevyo hii nchi inakoelekea ni hatari sana Mkuu.
MamboLeo ndo leo
Yap,,hizi lyrics za huyu jamaa bado zinaishi mzee, hazina utamu wa big g km za artist wa miaka ya hv karbuni, ngoma zao nyingi zna utamu wa bubble gumWewe andelea kunywa bia acha mimi nikapate gongo...
Mradi wote tuwe stimu ndio life la kibongo...
....Msela...
Safi tuMambo
BL
Aaaah mkuu, CCM wanaficha ukweli lakini hakuna mtu Vulnerable kama mkuu wa nchi. Ndiyo maana huwa tunasema kila siku tawala kwa akili na utende haki,..Nyerere na ubabe wake wote ule hakuamini walichomfanyia hawa vyombo vya dola. Walimgeuka vibaya sana yaaani. Miaka ya 80-85 ilikuwa michungu sana kwa yule Mzee wetu.They cant bro
He is too powerfull for now. Na si unajua nchi hii ukisha pewa uraisi no one can touch you.
Lets hope hata ongeza muda tu 2025
Mrembo BeefMods wako wapi tuwape likes
Braza CCM hawa wez kumtoa kizembe he is the president and chairman of the oartyAaaah mkuu, CCM wanaficha ukweli lakini hakuna mtu Vulnerable kama mkuu wa nchi. Ndiyo maana huwa tunasema kila siku tawala kwa akili na utende haki,..Nyerere na ubabe wake wote ule hakuamini walichomfanyia hawa vyombo vya dola. Walimgeuka vibaya sana yaaani. Miaka ya 80-85 ilikuwa michungu sana kwa yule Mzee wetu.
karibu mkuu....twende kazi ""Hahah!! Hapa mkuu....
Beef jmn ndio nini tena?
Sikupingi mkuu...Yap,,hizi lyrics za huyu jamaa bado zinaishi mzee, hazina utamu wa big g km za artist wa miaka ya hv karbuni, ngoma zao nyingi zna utamu wa bubble gum