Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BTEKFI0gQju.jpg
 
Nilijua tu boss hii comment niliitarajia..am trying tatizo wananichokoza,kila ninachokoment wanakasirika daah inabidi kwenda nao watakavyo

Nipe.muda si waona siku hizi nimepunguza drama kwa 50℅
Actually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.

Sote tuko tofauti na ungangari ndiyo kitambulisho chako. Ukibadilika itabidi na jina ubadilishe na sisi wafuasi wako itabidi ututafutie mashujaa wapya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Actually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.

Sote tuko tofauti na ungangari ndiyo kitambulisho chako. Ukibadilika itabidi na jina ubadilishe na jina na sisi wafuasi wako itabidi ututafutie mashujaa wapya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna bro ulikuwa right kabsa
Usi retract ujumbe ulikuwa unamsaidia bro
 
Back
Top Bottom