MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hivi wewe ni mtu wa pwani ???Kadir unavyozid kupanua ndivy watu wanavyozid kutamani [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Hivi wewe ni mtu wa pwani ???Kadir unavyozid kupanua ndivy watu wanavyozid kutamani [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Sawa nimeelewaAcha maneno Tia like hapaaaaaaaa.
Kwan wewe jina lako.maana ake nn?Inamaanisha nini?
Sema mkuu
Vipi unaipata hii ya mheshimiwaSikupingi mkuu...
Mimi namuonea sana huruma huyu Mzee wetu. Naomba tu kwa Mungu kwamba abadilike kabla hajachelewa kwasababu kwa jinsi anavyoenda lazima kuna sehemu atakwama tu na hatakuwa na watu wengi sana upande wake.....Yeah
Lets hope so ila jamaa ni disaster
Sema mkuu. Sound nyingi eeeh!?Ngosha mwenye sound nyiingiii..uko poa mkuu
Oopsss dah nikajua nimegombezwa leo na dady kitoo hahahaActually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.
Sote tuko tofauti na ungangari ndiyo kitambulisho chako. Ukibadilika itabidi na jina ubadilishe na sisi wafuasi wako itabidi ututafutie mashujaa wapya [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah na hata akifanikiwa kumaliza kwa taabuMimi namuonea sana huruma huyu Mzee wetu. Naomba tu kwa Mungu kwamba abadilike kabla hajachelewa kwasababu kwa jinsi anavyoenda lazima kuna sehemu atakwama tu na hatakuwa na watu wengi sana upande wake.....
Siku hizi umenitupa sana mkuu, sijafungaga pm ujueSema mkuu. Sound nyingi eeeh!?
Katika utofauti wetu ndimo upekee wetu unamopatikana; na katika upekee wetu ndimo mlimo na uthamani wetu na nguvu zetu kama binadamu. Tumshukuru Mungu kwa kutuumba tofauti mkuu vinginevyo tungekuwa sawa na maroboti tu yanayoongozwa na programu moja yenye ufanano wa nje na ndani. Isingependeza !!!
Yeeee!Likes za kulalia
Nime-retract kwa sababu haukuwa ujumbe wangu. Tuzikubali tofauti zetu !!!Hamna bro ulikuwa right kabsa
Usi retract ujumbe ulikuwa unamsaidia bro
Gud nytWapendwa mlale Salama Mungu akawalinde.
Sawa kakaNime-retract kwa sababu haukuwa ujumbe wangu. Tuzikubali tofauti zetu !!!
Ninayo hiyo kila siku kabla ya kulala lazima niisikilize mkuu siku danganyi.....Vipi unaipata hii ya mheshimiwa
Sugu-Hayakuwa mapenzi