MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Haya ledada, huyu ndiyo wewe ??[emoji259] View attachment 772900
Haya ledada, huyu ndiyo wewe ??[emoji259] View attachment 772900
Haha jamaa alilia kiutu uzima sana, aliandika kwa hisia kali sanaNinayo hiyo kila siku kabla ya kulala lazima niisikilize mkuu siku danganyi.....
Sikupenda kutokuendelea kusoma/baba alipofariki ilibidi kumtunza mama... na zaidi ni kuhakikisha wadogo zangu wanasoma
Imebidi niende kwenye makabrasha yangu. Kumbe umebadili jina na avatar...Siku hizi umenitupa sana mkuu, sijafungaga pm ujue
Shiro, haka ni kale kasichana bro Davet alikuomba ukageuze? Ulisema eti hakana yale mambo yetu, mbona kako vizuri tu? (Kama ni kenyewe)[emoji259] View attachment 772900
Nikweli bro jamaa aliandika na kuflow kwa hisia sana mimi nikisikilizaga hiyo ngoma huwa nahisi ni kisa cha kweli kilishamtokea.....Haha jamaa alilia kiutu uzima sana, aliandika kwa hisia kali sana
Kuna sehemu anasema "hakujari ripoti ya Dokta iliposema dame wake huyo atakuwa mgumba, kwani wadada wangapi wamezaa watt na bado watt hao wakawa mateja,,hahha
Sugu ni Legendary aise
Duh ile ligi kule ilinipotezea umakin wa kula ubuyu nje ya uzi ule hata sijui anahost nini labda Davet anafahamuNumby ..alikibamia anatak Ku host nini kesho ..maana nimesikia clouds wanampigia promo..kuwa atakuwa kwenye show ya TV ya 360.. na ya radio leo tena ..""
Duh ile ligi kule ilinipotezea umakin wa kula ubuyu nje ya uzi ule hata sijui anahost nini labda Davet anafahamu
Hahahaha yamekua hayooo,sijambo marahabaaaMama ubuyu, hujambo? [emoji1][emoji1]
The dada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwan wewe jina lako.maana ake nn?