Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

439633753_201825.jpg
 
*KUNA GHARAMA HAPA?*[emoji383][emoji780]

[emoji871][emoji637]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini?*

[emoji871][emoji638]
*Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya usafi akuruhusu upite kuliko kukanyaga mahali alipodeki na hapajakauka bado?*

[emoji871][emoji639]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mtu ambae mmekaa nae seat moja safarini?*

[emoji871][emoji640]
*Inakugharimu kiasi gani kusema Asante kama MTU amekutendea vyema??*

[emoji871][emoji641]
*Wanaume Inakugharimu kiasi gani Kusema samahani kwa mke wako unapokosea au unapochelewa kurudi nyumbani?*

[emoji871][emoji642]
*Je Inakugharimu kiasi gani kumpakulia mke wako chakula baada ya yeye kupika?*

[emoji871][emoji643]
*Inakugharimu kiasi gani kupokea simu na kumwambia mtu Niko ktk mazingira yasiyo rafiki kwa mawasiliano kuliko kuacha simu inaita unaiangalia tu au unakata?*

[emoji871][emoji644]
*Inakugharimu kiasi gani kumsalimia na kumtendea vyema mtu usiemjua?*

[emoji871][emoji645]
*Inakugharimu nini kutoa nguo ambazo huzivai na kuwapatia wahitaji, au chakula ambacho kimebaki kuliko kumwaga kwann usiwape watu wale?*

[emoji871][emoji637][emoji646]
*Inakugharimu kiasi gani kupokea simu ya MTU anaekudai na umwambie hujapata pesa yake bado na ukipata utampatia badala yake unazima sim?, unabadilisha lain,? unawacha inaitaa wewe hushughuliki? au unakata sim yake??*

[emoji871][emoji637][emoji637]
*Inakugharimu kiasi gani kutenda wema hata kwa yule anaekuchukia???*

[emoji871][emoji637][emoji638]
*Kwani inakugharimu kiasi gani kumnunulia nguo nzuri house girl/boy wako kukaa pamoja kula pamoja kwanini yeye anakula jikoni ninyi mezani? mkitoka outing familia yako na house girl wako, basi mavazi yake na mwonekano wake tu humtambulisha, kwanini?*

[emoji871][emoji637][emoji639]
*Itakugharimu nini wewe bosi/manager kuwasalimia au kucheka na wafanyakazi walio chini yako?*

[emoji871][emoji637][emoji640]
*Wewe mzazi itakugharimu kitu gani kumwambia mwanao unampenda!?*

[emoji871][emoji637][emoji641]
*Wewe mke itakugharimu kitu gani kumwambia mmeo unampenda!?*

[emoji336] *ITAKUGHARIMU NINI KUITUMA HII KWA WENGINE?*[emoji390][emoji390][emoji390]
Ukweli mchungu.
 
English Killed by Teachers:

PE Teacher: Both the three of you, stand together separately.

Geography Teacher: Will you hang that map or else I'll hang myself.

Principal: Tomorrow I will call your parents, especially your Mother and Father.

English Teacher: Why are you looking at the monkeys outside when I'm in the class!
[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Common Sense...

My boss thinks I am a fool. Yesterday he sent me to buy 2kg of sugar but I only found 1kg at the shops so I didn't buy. I went back to the office & told him that they only had 1kg. Very pissed at me, he asked me why I didn't use my brain and buy two 1kg packs to make a total of 2kg.

Today he sent me to buy a pair of slippers size 6 but I only found Size 3. This time I used my brain and bought 2 pairs of Size 3 to make Size 6. I took them to him & he told me to wait outside.

I can see him typing.

I guess it's a promotion letter...
 
Back
Top Bottom