Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

YANGA LEO KAVULIWA UBINGWA RASMI BAADA YA KULITAWALA KWA MIAKA MITATU MFURULIZO HATA IVYO KUNAUZEMBE UMEFANYIKA SANA KUSABABISHA YANGA KUKOSA UBINGWA HUU UZEMBE HUWO UMEFANYWA NA VIONGOZI WA JUU WA YANGA YANI KAMATI YOTE YA UTENDAJI !!!

Msimu huu yanga walikuwa wakisema ukata mkubwa wa fedha yani YANGA akuna pesa
Leo wanayanga ngoja tupige mahesabu madogo tu ya darasa la pili kisha tuseme yanga kweli akuna pesa???

WAZAMINI NDANI YA YANGA
Sports pesa million 90 kwakila mwezi
Macron million 87 kila mwezi
Afya drinks water milioni 30 kwakila mwezi
AZAM TV milioni 50 kila mwezi
Sasa hao ni wazamini wa YANGA binafsi yani (personal sponsors)
Tupige hesabu sasa
Sports pesa ml 90
Macron million 87
Afya drinks water ml 30
AZAM TV ml 50
Izo pesa zinatoka kila mwezi jumla ml 257
Sasa tupige hesabu tu pale YANGA wachezaji wapo 25 sijajua kila moja analipwa shingapi japo wachache ndio najua wanalipwa sasa tufanye kila mmoja analipwa milioni 5
Pigia mahesabu wachezaji 25 ×5=125
Kwaiyo kila mwezi ni milioni 25 ndio mishahara ya wachezaji sijajumlisha benchi la ufundi HAPO wachezaji tu
Sasa niambieni pesa za wazamini YANGA azitoshi ???? Kama tunavyo ambiwa na viongozi??
Kitu nilicho gundua kunaupigaji mkubwa pale YANGA viongozi wapo kwaajili ya matumbo yao haiwezekani wachezaji wagome eti kisa mishahara wakati PESA zinatolewa na mzamini
Kumbuka iyo hesabu niliyopiga ni wazamini binafsi acha wazamini wa league kuu
Ambao ni
VODACOM
KBC
AZAM TV
kwa hesabu ya darasa la pili tumesha jua YANGA kuna wezi kule ambao wanainyonya YANGA
SASA BASI MKUTANO MKUU UNAKUJA TWENDENI TUKAWAAMBIE VIONGOZI WANESHINDWA KUMALIZA MATATIZO YA CLUB AU VIPI TUJUE

PIA NAWAPONGEZA SIMBA KWA KULICHUKUWA KOMBE BAADA YA KUSAFA KWA MIAKA SITA SASA

*BY*
*RAMSO THE KING*
Viongozi wa Yanga ni wezi
Ni muda wa kuwatoa
 
duuuuuhh kweli ni wezi "" mamaeeee
 
Aisee!!wizi kila sehemu
 
Back
Top Bottom