Ujasiri wa ajabuMwanasayansi huyo mkongwe alisafiri kutoka Australia mpaka Basel, Uswis kwa ajili ya kujitoa uhai kwa hiari, ingawa alisema anachukizwa na kitendo hicho.
Goodall alishika bomba la sindano yenye sumu na kusukuma kwenye mwili wake, na ilitumia dakika moja sumu ikaenea mwili na kupoteza uhai wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi nigawe kwa members wote humu ni kunywa mpaka kuziacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio kwa uchungu ule....Hawa ndo mafans wa kweli... Numby Popote ulipo kunywa CHIBUKU 100 nakuja kulipa.

Wasamaria!!!!!? DuuuSindano ambayo aliitumia kujichoma ilikuwa na sumu aina ya Sodium pentobarbital ambayo iliingia kwenye mishipa ya mwanasayansi huyo.
Wasamaria wema walimchangia Dola 20,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh45milioni ili kumsaidia kutimiza azma yake hiyo.
Wasamaria wauaji....Wasamaria!!!!!? Duuu