myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:00
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio kwa uchungu ule....Hawa ndo mafans wa kweli... Numby Popote ulipo kunywa CHIBUKU 100 nakuja kulipa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Usjali si ndio unaona naleta CV mdogo mdogo
Mpaka ikatokee vacancy najua CV yangu itakuwa ya kwanza kufikiriwa.
Huwez tengeneza hata position ya Deputy?
Zinaendelea kutolewaLikessss
Braza jirani kaenda wapi?Cut the drama out of your life
Ukiwa na dada wa hivi unatamba mtaa mzima, unakuwa mkorofi wakitaka kukugusa tu mbio kwa dada NUMBISA..[emoji123][emoji123][emoji123][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa ndio mashabiki wa kugalagala
Aka mashabiki wazalendo
Wanapigania timu mpaka tone la mwisho
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Mwanaume wa shoka huyu
Hahahhaha
Godddaaaamnn you are beast kwenye ile sekta