Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi watu huamua kushirikiana ili wafanye biashara kutokana na ukaribu walionao, kuaminiana, kusaidiana na namna kila mmoja anavyoamini kwamba rafiki yake anaweza kuwa msaada muhimu katika kukuza mtaji na biashara yake hadi kufikia kilele cha mafanikio yao.
 
Wapo wanaoamua kushirikiana kwa lengo la kugawana mtaji baada ya kipindi fulani cha muda inaweza kuwa hata miaka kumi mbele pindi watakapopata faida ya kutosha na biashara kukua, hii ikiwa na lengo la kumfanya kila mmoja aendeshe biashara yake bila kutegemea ushiriki wa mwenzake.
 
FB_IMG_1525824901704.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya naona pozisheni ishakuwa okupaidi..
Usjali si ndio unaona naleta CV mdogo mdogo
Mpaka ikatokee vacancy najua CV yangu itakuwa ya kwanza kufikiriwa.

Huwez tengeneza hata position ya Deputy?
 
Back
Top Bottom