Nilikuwa nimerudi kutoka chuoni Eldoret, Kenya. Kwa hiyo nikawa nipo likizo nika kutana na rafiki yangu Cris. Jumamosi moja akanipigia simu. Akaniambia kesho twende kanisani kwao wana ibada nzuri. Tukakubaliana kesho yake jumapili nitaenda usiku nika nyoosha nguo zangu vizuri. Nikawahi kulala.
Nilishtuliwa na simu
"Halo"
"Halo bado umelala?"
"Eeh nimelala"
"Amkaa, ni saa mbili kasoro tayari"
Alikuwa ni cris ana niamsha twende kanisani
Nika amka fasta nika oga, nika vaaa, tukaondoka mpaka kanisani kwa Cris....
HADITHI