Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1820
IMG_20180510_184933.jpg
 
Mkaazi mmoja wa kijiji cha KIGANILA kata ya Selembala mkoani Morogoro aliyetambulika kwa jina la Selemani Mgeni, ameshambuliwa na nyoka huyu, walipokutana ana kwa ana kichakani wakati Bwa Mgeni akisafiri kwa baiskeli. Mashamblizi mawili, pajani na mgongoni yalimaliza uhai wake sekunde chache baadayeView attachment 772640
Chanzo cha habari tafadhari!
 
Nilikuwa nimerudi kutoka chuoni Eldoret, Kenya. Kwa hiyo nikawa nipo likizo nika kutana na rafiki yangu Cris. Jumamosi moja akanipigia simu. Akaniambia kesho twende kanisani kwao wana ibada nzuri. Tukakubaliana kesho yake jumapili nitaenda usiku nika nyoosha nguo zangu vizuri. Nikawahi kulala.
Nilishtuliwa na simu
"Halo"
"Halo bado umelala?"
"Eeh nimelala"
"Amkaa, ni saa mbili kasoro tayari"

Alikuwa ni cris ana niamsha twende kanisani
Nika amka fasta nika oga, nika vaaa, tukaondoka mpaka kanisani kwa Cris....

HADITHI
Hadidhi yako inatufundisha mini broo
 
Back
Top Bottom