Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sindano ambayo aliitumia kujichoma ilikuwa na sumu aina ya Sodium pentobarbital ambayo iliingia kwenye mishipa ya mwanasayansi huyo.

Wasamaria wema walimchangia Dola 20,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh45milioni ili kumsaidia kutimiza azma yake hiyo.
 
Kabla ya kifo chake alisema kwamba kinachomfanya aharakishe kufa ni kutokana na kupungua kwa uhuru unaosababishwa na umri.

Hata hivyo mwili wake utachomwa moto nchini Uswisi na kisha majivu yatapelekwa nchini Australia.
 
Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu cha Makumira mkoani Arusha, Luciana Richard (25), mkazi wa Morogoro amejinyonga akiwa chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawazo.

Tukio hilo limetokea juzi, Kitongoji cha Kilalanaiti Kijiji cha Ndatu Kata ya pori, mwanafunzi huyo, alikutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio wake alioufunga juu ya mlango wa bafuni.
 
Akizungumza na MCL Digital leo Mei 10, Mwenyekiti wa kijiji hicho, Elisante Pallangyo amesema, mwanafunzi huyo alijinyonga juzi.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuph Ilembo amethibitisha jana kutokea kwa tukio hilo na kueleza uchunguzi bado unaendelea.

"Ni kweli tukio limetokea na uchunguzi unaendelea kujua sababu za kujiua mwanafunzi huyu,"amesema.
 
Wengi wamejikuta wakiingia katika ugomvi na baadhi rafiki zao kutokana na kushirikiana katika uendeshaji wa biashara zao, bila kujali ukubwa wa mtaji walionao au ukubwa wa uwekezaji waliofanya kwenye mradi husika.
 
Mara nyingi watu huamua kushirikiana ili wafanye biashara kutokana na ukaribu walionao, kuaminiana, kusaidiana na namna kila mmoja anavyoamini kwamba rafiki yake anaweza kuwa msaada muhimu katika kukuza mtaji na biashara yake hadi kufikia kilele cha mafanikio yao.
 
Back
Top Bottom