Hukawii kupotea mkuu [emoji23]Hahaha mida yenu hii.
Hakika mkuu,Ndiyo mkuu. Hasa sisi wanaume. Tulizaliwa ili kuhangaika aisee. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wanakopeshwa wasiolipa kodi sio?
Umenipita huo mjadala basi. Mijadala ya hivyo huwa naipenda...Na maGT Lumumba na Iceman wakiwepo basi haliharibiki nenoLeo wanaongea vitu vya akili bila kumwaga tusi hata moja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mkuu leo majukumu yalibana kidogo ila mida ya wakubwa nimeuzuria kama hivi...Habari yako?
Naona umetokea mida yako.....ahahah
Hukawii kupotea mkuu [emoji23]
Ingeanzishwa kampeni ya lipa kodi mwanao apewe mkopo, huoni tungehamasika?Mambo ya kustaajabisha sana Mkuu na hii Tanzania ya Vi Wonder. Yaani ni vita tu dhidi ya Watanzania ili kuwakwamisha katika kuboresha maisha yao. Mtu ana biashara analipa kodi ni mjasiriamali huyu kajiajiri sasa iweje mwanae anyimwe mkopo!?
I like beating my younger brother a lot but each time i beat him he will rush to the toilet and stay there until he stop's crying.This act made me wonder.So one day when we where happily watching a movie i asked him.....why he runs to the toilet when ever i beat him. he laughed and said "anytime you beat me i run to the toilet and clean the toilet seat with your tooth brush. " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]