Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama uzionavyo mashine za Atm ktk baadhi ya nchi, nchini Colombia mashine kama hizo zipo kwa ajili ya kutoa matunda ikiwa unahitaji kununua.
Kama uzionavyo mashine za Atm ktk baadhi ya nchi, nchini Colombia mashine kama hizo zipo kwa ajili ya kutoa matunda ikiwa unahitaji kununua.
Hivi Little Mix unawapata Mkuu ???
Hapana Mkuu sijawahi kuwasikia hawa hebu tuwekee kitu chao japo kimoja Mkuu.
Corombia inahesabiwa kama nchi yenye furaha kuliko zote duniani.
Corombia inahesabiwa kama nchi yenye furaha kuliko zote duniani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu bwana mdogo shwuaini kabisa, mwanzo komenti yake imenishitua sana, iweje aoe bila kutujulisha? Kweli anatuletea habari za jiko la gas?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jizazi !!!