Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

They got Cosby...
2018-04-30%2022.34.43%201769131098506674263_202586564.jpg
 
Eeeh wabongo si hamtutaki tutaenda kuolewa huko US [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hapa kwenye uzi tu wengi wanapenda vimbaumbau so hakuna haja ya kwenda USA. Ila hata USA hao weusi wanaopenda vimbaumbau hivi nadhani ni wale high class. Wengine hawa wanahangaika na matipwa tipwa na hata ni kimbaumbau kimsambwanda lazima kiwepo
 
Hata huko USA wengi wanapenda vimbaumbau so hakuna haja ya kwenda USA. Ila hata USA hao weusi wanaopenda vimbaumbau hivi nadhani ni wale high class. Wengine hawa wanahangaika na matipwa tipwa na hata ni kimbaumbau kimsambwanda lazima kiwepo
Haaaaaa wacha wanaume wa kibongo weka mbali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom